๐ Maelezo
Hii ni mwongozo wa kwanza kabisa wa Kiswahili wa kutumia Claude AI kujenga apps, systems, na websites halisi za production.
Imeundwa baada ya kujenga apps tatu kubwa zinazofanya kazi:
โ
SANYA โ Event contributions tracker (sanya.tz)
โ
WEKEZA โ Investment club platform (wekeza.sanya.tz)
โ
SHOP โ Books & digital products marketplace (shop.sanya.tz)
KILA NJIA UNAYOIPATA NDANI YA MWONGOZO IMEJARIBIWA NA INAFANYA KAZI HALISI.
โญ NDANI UTAPATA:
โข Sura 11 + Anexes โ kurasa 28
โข Jinsi ya kuandaa wazo kabla ya kuanza
โข Sanaa ya kuandika prompt nzuri (templates 4 tayari kutumia)
โข Workflow kamili ya maendeleo
โข Hatua za kufanya deploy (cPanel, MySQL, SSL)
โข Jinsi ya kutatua bugs
โข Gharama halisi (TZS) โ bajeti ya mradi
โข Mifano halisi 3 + lessons learned
โข Makosa ya kawaida na jinsi ya kuyaepuka
โข Resources kamili za kuendelea kujifunza
๐ฏ KWA NANI?
โข Mtu mwenye wazo lakini haandiki code
โข Mfanyabiashara anayetaka mfumo wa kidijitali
โข Developer anayetaka kuongeza tija mara 5โ10x
โข Mwanafunzi wa IT
โข Yeyote anayetaka kujifunza AI ya production-quality
๐ FORMAT: PDF (kurasa 28) โ pakua + soma online + offline
๐ LUGHA: Kiswahili (rahisi kuelewa)
โฑ๏ธ MUDA WA KUSOMA: Saa 2โ3
๐ UPDATES: Bure kwa toleo la 1.x
๐ BAADA YA KUNUNUA UTAPATA:
โข Email yenye link ya kupakua
โข SMS yenye link ya kupakua
โข Access ya kusoma online (kwenye library yako)
Unataka kuanza kujenga app yako mwenyewe? Pakua sasa na ujifunze kutoka kwa mtu aliyetengeneza apps tatu zinazofanya kazi halisi Tanzania.